Chuck j
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 2,366
- 828
WanaJF,
Asubuhi nimesikia kelele kwenye banda la kuku, kucheki nikakuta kifaranga kimejinyoosha kinalia, miguu imenyooka vidole vimepinda, kinapumua haraka haraka na miguu inatetemeka sana. Ukikisimamisha vidole vinapinda kama vya taahira but vimekakamaa, nikakipa maji kikanywa, stil hakiwezi simama!