Msaada: Huu ni ugonjwa gani na tiba yake nini?

Mbuvula

New Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
3
Reaction score
0
Habari zenu wakuu, poleni na majukumu.

huu ni ugonjwa gani umenipata, ilianza kama siku tatu zilizopita, naona mkono unaniwasha na jana na leo ghafla naona pamekuwa hivi na bado panawasha. Tamuona Doctor lakini kwa sasa nipo eneo ambalo hakuna daktari, angalau paache kuwasha tu na kuondoa hivo viuvimbe kwanza.

Natanguliza shukrani.
 
Hao ni mbu tu tiba yake tumia net. Na kama sio mbu paka majivu
 
Hao ni mbu tu tiba yake tumia net. Na kama sio mbu paka majivu
Asante ndugu, na kweli mbu wananing'ata sana sababu huwa situmii net. Ngoja nijaribu majivu kupaka ndugu. Shukrani.
 
Tetekuwanga hiyo mkuu
 
Ni kama mchafuko wa damu
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…