MSAADA: Huu ni ugonjwa gani wa Kuku?

MSAADA: Huu ni ugonjwa gani wa Kuku?

Miguel Alvarez

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
2,856
Reaction score
5,430
Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu

Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini?
Ni kuku wa kienyeji
Mwenye kujua Tib
IMG_20231014_172455_997.jpg
a yake ikiwa madawa ya madukani au mitishamba naomba anijuze

Nimeambatanisha na picha 👇🏿👇🏿
 
Back
Top Bottom