MSAADA: Huu ni ugonjwa gani wa Kuku?

Miguel Alvarez

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
2,856
Reaction score
5,430
Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu

Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini?
Ni kuku wa kienyeji
Mwenye kujua Tiba yake ikiwa madawa ya madukani au mitishamba naomba anijuze

Nimeambatanisha na picha πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…