Msaada: Huu ni ugonjwa gani?

Msaada: Huu ni ugonjwa gani?

GREGO

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
4,279
Reaction score
2,921
Wadau nimekutana na hiki kitu moja ya kuku wangu, ila manyoya yamenyonyoka mgongoni.
20191127_062901.jpeg
20191127_062910.jpeg
 
Inaonekana Ameshambuliwa Na Vicheche Ama Jamii Hiyo
 
Sio kwamba ameshambuliwa na mnyama?
Mkuu inawezekana maana nimemkuta bandani hivyo na banda linafungwa vizuri ila niliambiwa kwamba majogoo walikuwa wanampanda kila mara maana wapo kama watano hivi hadi akaishiwa nguvu. Sasa sijajua kama ndo sababu?
 
Inaonekana Ameshambuliwa Na Vicheche Ama Jamii Hiyo
Nge anaweza kushambulia/kumfanya kuku kuwa hivi mkuu hawa ndo mara nyingi nawakuta bandani
 
Back
Top Bottom