Msaada: Huu ni ugonjwa?

Msaada: Huu ni ugonjwa?

Idd hashim

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
79
Reaction score
17
Mke wangu ana matatizo kwenye mzunguko wake yani inaweza pita hata miezi mitatu hajaingia mwezini .

Je inasababishwa na nini?
 
Hormones hazijabalance........
 
Nainawezekana pia anaugonjwa bilw yeye kujua unasababisha hiyo hali ,akaonane na dr ila asiwe dr kikwete
 
Ilo ni tatzo la kuto kibalance kwa Homons......karb apaye dawa wenue kes kama ya kwake tumewasaidia tuna mshukuru mungu...0714.912.390
 
Back
Top Bottom