A Acha Maneno Member Joined Oct 6, 2018 Posts 36 Reaction score 46 Jul 3, 2024 #1 Habari zenu Wakuu, Kwenye harakati zangu mtandaoni nikakutana na Ukurasa huu ambao unatoa Bajaji kwa ufadhili wa Mo Dewji. Naomba kujua kama huu ukurasa ni rasmi na watoa kweli Bajaji? Asante.
Habari zenu Wakuu, Kwenye harakati zangu mtandaoni nikakutana na Ukurasa huu ambao unatoa Bajaji kwa ufadhili wa Mo Dewji. Naomba kujua kama huu ukurasa ni rasmi na watoa kweli Bajaji? Asante.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jul 3, 2024 #2 Kama unataka boxer au bajaji nenda ofisi zao zilipo physically Ova