jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,715
Wasalaam wadau wa jukwaa hili muhumi.
Moja kwa moja nieleze tatizo langu ni kwamba recently nimekuwa nikikojoa mara nyingi sana kwa siku, Hapo awali mwanzo wa mwezi huu nilienda hospitali (level ya health centre) nikapima MRDT negative ,urine test NIL pia ila nikapewa dawa ya U.T.I nilimaliza dozi vizuri na ikapoa kwa hizi wiki mbili za hapa katikati,sasa kuanzia jana usiku tatizo limerud tena nikahisi ni mabadiliko tu ya kawaida ila haikuwa hivyo, siku ya leo imekuwa mbaya zaidi nataman ningekuwa nimeenda hospital hata mchana .Niliyemuuliza about this issue kaniambia inaweza kuwa kisukari but nimeamua kuileta mbele yenu...ngoja niweke details hapa ila all in all kesho nitaenda hospital acha nivumilie kwa jioni hii
-Nilipima sukari mara ya mwisho ilikiwa mwezi wa sita, sikula kitu ili nipate kipimo cha bila sukari ilikuwa 2.7(mg/L)
- ugonjwa wa mwisho kuugua ilikuwa u.t.i(Presumed maana docta alinipa dawa just in case)
-Pressure ilikuwa normal(80-120)
*Rangi ya mkojo ni wa rangi ya kawaida yenye harufu ya kawaida pia.
*24 years old, 175cm, 68kg.
*Kwa lisaa limoja napata mkojo mara hata nne.
Inaweza kuwa ugonjwa gani?
(natamani isiwe kisukari otherwise nguvu za kwenda kupima kesho ntakosa)
*ps:Sikunywa maji kabisa siku ya leo,na sisikii maumivu kokote,na nikiwa nakojoa mkojo hauchomi)