MSAADA - Huundaiji Wa Vikundi Kwa Vijana Ili Kuweza Kujikwamua Na Ajira na Kimaisha Kumekaaje ?

Professional Trader

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2016
Posts
1,220
Reaction score
1,120
Nimekua nikisikia Mara kwa mara viongozi na hata watu wenyedhamana katika asasi kubwa za kiselikari na,w zisizo za kiselikali zikishauri kuwa vijana Tuunde vikundi ili tuweze kupata msaada wa mikopo na ata mali ghafi ambazo zinaweza kutufanya vijana kujikwamua katika wimbi kubwa la kukosa ajira na kujipatia kipato na ajira kwa kujiajiri kutokana na msaad huo watakaoutoa kwa vijana ambao wataform vikundi.

Swali langu ni kwamba kuna ukweli wowote juu ya hii dhana? na kama ukweli upo ni hatua gani zinapaswa kufatwa ili kuweza kuform izo group ambazo zinazungumziwa na wakuu wetu?

Msahaada waungwana kwa anayefaamu juu ya jambo ili mtusaidie vijana?
 
Zile mln 50 kila kata ndo hizo walizotushawishi ila hakuna ukweli wa kusaidiwa hapo labda mjisaidie wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…