Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Nashukuru sana nimefuata ushauri wako na wiki hii hapa ninafungua studio yangu niliyowekeza kwa pesa zangu mwenyewe na hii comment itakuwa kwenye ukuta 🙏Anza kujiamini kwanza mwenyewe siyo kutegemea sana watu kugundua potential yako, kisha brainstorm idea zako ni ipi ina allign na vitu unavyopenda, maana kitu kizuri zaidi ni kile unafanya kwa kufurahia pia kinakulipa,
Potential muhimu kuliko zote ya kuzitambua potentials zako na namna ya kuzifanyia kazi, bila hiyo ni sawa na kwamba hauna potential ya ku-initiate chochote hapo ukweli mchungu ni kwamba uombe kuwezeshwa labda una potential ya kuendelea unachowezeshwa. Vinginevyo achana na mambo ya potential na ujikite kwenye kuajiriwa.Sina lengo la kujisifu ila nahitaji msaada wa kisaikolojia au kitu kama hicho.
Nilikuwa mtu wa ku share ideas ila watu wengi walikuwa wanazikataa kuwa hazifikiki au ni malengo makubwa kuliko uhalisia. So nikaamua kuto share chochote na watu zaidi nafanya mwenyewe kwa pace yangu.
So huwa public na share pumba tu (memes) then ideas nakausha nazo.
Sasa imetokea kuwa niki share na watu ninaowaamini ideas mbalimbali huwa wananiambia nina potential kubwa sana.
Sasa nifanyeje ili kuzitumia? Na ni nufaike na hiyo wanayosema potential?
Nashukuru sana kwa ushauriPotential muhimu kuliko zote ya kuzitambua potentials zako na namna ya kuzifanyia kazi, bila hiyo ni sawa na kwamba hauna potential ya ku-initiate chochote hapo ukweli mchungu ni kwamba uombe kuwezeshwa labda una potential ya kuendelea unachowezeshwa. Vinginevyo achana na mambo ya potential na ujikite kwenye kuajiriwa.