Msaada! Huwa ziwezi pezi

Joined
Apr 20, 2013
Posts
21
Reaction score
0
Naombeni msaada je hili ni tatizo au mimi nina umri wa 26yrs ninapokaa bila kufanya mapenz kwa muda wa mwz cku nikikutana nina piz ndani ya sekunde na hata hushin
 
Naombeni msaada je hili ni tatizo au mimi nina umri wa 26yrs ninapokaa bila kufanya mapenz kwa muda wa mwz cku nikikutana nina piz ndani ya sekunde na hata hushin

Kama umeoa, usikae muda mrefu hivyo si unajua zikirundikana sana tatazio pia, kama hujaoa fanya uoe.. na pia fanya mazoezi kwa sana hii itasaidia
 
tatizo huwa unaharaka kama ulivoandka hii post yako. Tulia uone mafankio.
 
Hiyo kawaida sana,mm jana nilipiz within a minute,shida inakuwa kwa mwenzi wako!
 
hiyo inaitwa pre-mature ejaculation!! Kuwa mvumilivu na ujiandae vya kutosha kabla ya kula mzigo,.
 
Teh teh teh..... sisi tusiomaliza siku je ?
 
Afadhali wewe wa mwezi,wiki na siku.Mimi hukaa hata mwaka siku nikiwai mzigo Loooo....Hata dakika haishi baada ya hapo nazimia hadi kesho yake ndipo programe iwe sambamba sasa kuendelea na mavituzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…