Ni imani yangu kuwa hata wakati ule vyombo vya habari vilikuwepo, na nadhani kuna baadhi ya matukio hukidhi vile vigezo vya kuwa habari kwa wakati huo.
Swali langu ni, je hili liliandikwa? na kama liliandikwa na yupo mwenye access nalo atuwekee humu.