Msaada;hv Masomo Ya 'A'-LEVEL, Inawezekana kusoma mwaka mmoja na ufaulu ukawa mzuri?

Rajasili

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
117
Reaction score
10
Wadau,nawaomba Tujuzane Kwa Wale Wenye Experience,inawezekana Nkasoma Masomo Ya Kidato Cha Tano Na Sita Kwa Mwaka Mmoja Na Nkafaulu Vzur,kwa Alama Za Kujiunga Na Chuo Kikuu??km Inawezekana N Mbinu Ipi Nitumie?
 
combination gani?kama ni PCM,PGM,ECA,PCB,EGM,HGE,CBG,.USIJARIBU NAKUSHAURI USIFANYE HIVYO.
 
soma EGM mwaka 1 inawezekana but uwe seriouz kinyama,mimi niko UDSM na nilifanya hivyo then nikafanya School candidate
 
soma EGM mwaka 1 inawezekana but uwe seriouz kinyama,mimi niko UDSM na nilifanya hivyo then nikafanya School candidate

aise we noma,ulitok for 4 moja kwa moja au ulitokea kitaa kwanza.maana kwa fresh student si balaa,ule uchumi,math zote mbili paper 1 na 2 ulizicover da.
 
soma EGM mwaka 1 inawezekana but uwe seriouz kinyama,mimi niko UDSM na nilifanya hivyo then nikafanya School candidate

Acha uongo mwaka m1 ulfanyaje kama skul candidate?We ulpaswa kufanya km Pc(Private candidate)
 
kwa masomo ya sanaa(arts)inawezekana kabisaa bila wasiwasi wowote ila sayansi....usidanganyike ingia darasan miaka yote miwili!!
 
Mimi nilisoma miezi sita nikafaulu kwa kiwango cha hist D english D kisw s ni wewe mwenye na kichwa chako na kikubwa ni kupata material ya kutosha na kwa arts hamna haja ya twisheni maana walimu wengi wanakopy na kupaste muda huo utumie kujisomea.
 
Inawezekana, ila uwe kipanga kweli kweli. Inawezekana combi yoyote ile
 
Kwa upande wa arts hapo sawa japo nako unapaswa kukaza kikweli kweli.Uhakikishe unacover topics za muhimu muhimu na zenye marks nyingi,pia tumia mfumo wa kusoma maswali kwa sana.NB:USIJARIBU KUSOMA KOMBI ZIFUATAZO KWA MWAKA M1 UNAOSEMA: >PCM,PCB,PGM,CBA,CBG,EGM.
 
Inawekana kwa arts vs science bt issue here is self determination only.

Wewee acha mchezo kabisa,science kitu kingine bro asikudanganye mtu.Kucover topic kwenyewe tu atatumia huo huo mwaka.
 
kuna watu humu hata advance cjui wamepita,maana kuna notes nyingi za paper one na 2 kila somo.kama unataka kusoma mwaka mmoja usiguse PCM,PCB,CBA,EGM,PGM,ECA,HGE,CBG,.WENGI WALIOFAULU WAMESOMA ARTS PURE MWAKA MMOJA.HAIWEZEKANI KUSOMA MIEZI SITA TU UKAPATA D LAZMA LABDA ULIWAH KUSOMA AU ULIKUWA UNARISIT,ILA KAMA UMETOKA O LEVEL MOJA KWA MOJA VIGUMU.
 
soma EGM mwaka 1 inawezekana but uwe seriouz kinyama,mimi niko UDSM na nilifanya hivyo then nikafanya School candidate

SODOKA 'Shetani ni mtaalamu sana wa kutengeneza sufuria ila mara zote hushindwa kutengeneza mfuniko wake'. Hiyo red ndio mfuniko wenyewe.
 
Jaribu uone...hamna cha hkl wala pcb..itakula kwako mkuu... Alieiweka isomwe miaka miwili hakua tahira
 
Unatakiwa uwe serious kuliko wa two years shulen ila n vzur icwe masomo ya science kabisa itakula kwako ndg sababu ya practicals ila arts inawezekana au masomo ya business pia!my cster did it na kamaliza udom mwaka jana so alifaulu na akaenda chuo pia
 
Nilifanya Kusoma Kwa Mwaka Mmoja Na Nikafaulu Vzur Kwa Div 2.12! Comb HGK, so bro it is posble u can make it! kwa ushaur zaid vuta waya 0765432283
 
Inawezekana kabisa!
Jipange kutokana na masomo unayochukua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…