Msaada!! Hydraulic Break bleeding!

Msaada!! Hydraulic Break bleeding!

resonanceiduufu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
112
Reaction score
62
Nmeambiwa nianze na tairi iliyokaribu na dereva, ila cjapewa sababu! Naomba mwenye sababu anisaidie.
 
Kwa vile hydraulic brakes zinatumia fluid pressure ambayo ina-act equally in all directions, unaweza kuanza na tairi yoyote ile bila kuwa na tatizo lolote. Mara nyingi tunatumia utaratibu wa mtu mmja kukanyaga brake pedal ndani ya gari wakati mtu mwingine ana fungua na kufunga bleeder valve kwenye tairi. Hata hivyo kazi inakuwa ni rahisi sana iwapo unatumia brake bleeder tool inayokusaidia ku-bleed brake zote peke yako bila kuhitaji mtu wa kukukanyagia pedeli.
 
Asante!! Kweli kabisa!! Paschal Principle applies!
 
Back
Top Bottom