resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Sababu ya kuanza hivo!?Mimi ninavyo elewa unaanza na tiari ya nyuma kabisaaa kushoto bana
Asante!! Kweli kabisa!! Paschal Principle applies!Kwa vile hydraulic brakes zinatumia fluid pressure ambayo ina-act equally in all directions, unaweza kuanza na tairi yoyote ile bila kuwa na tatizo lolote. Mara nyingi tunatumia utaratibu wa mtu mmja kukanyaga brake pedal ndani ya gari wakati mtu mwingine ana fungua na kufunga bleeder valve kwenye tairi. Hata hivyo kazi inakuwa ni rahisi sana iwapo unatumia brake bleeder tool inayokusaidia ku-bleed brake zote peke yako bila kuhitaji mtu wa kukukanyagia pedeli.