Arusha mtandao unoongoza kwa wateja wengi ni VOD, ilifika mahali mtu akitaka namba yako anakuambia "naomba voda yako", ila kukutajia idadi ni ngumu hiyo ni kazi ya kupatiwa fungu kabisa la kufanya survey.
Tena usionyeshe sura yako vodacom kwa maswali kama hayo wanaweza amini umetumwa na mtandao pinzani.Lakini tueleze tu unachotaka kufanya na hizo data.Huna uwezo wa kuwazawadia watumiaji idadi waitakiani?