Msaada ilipo civil aviation training centre terminal one...

Top Thinker

Senior Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
183
Reaction score
125
Wakuu naomba mnielekeze ilipo civil aviation training centre terminal one.

Je nashukia kituo gani nikiwa naenda?

Nimeitwa kwa aptitude test.

Barua nilichukua pale banana aviation centre lakini hiyo training centre terminal one ndo nashindwa kujua ilipo.

Nitashukuru kupata taarifa.
 
mkuu hapo terminal one na two si zipo air port. sijawahi sikia mambo ya terminal sehemu nyingine. nenda hapo airport dar es salaam utauliza pale mapokezi watakuelekeza sehemu husika. shuka kituo cha uwanja wa ndege nenda hadi pale wanaposubilia abilia utaona kiosk. kuna madada wapo mule ndani. ukiwauliza watakuelekeza. Mia
 
Wakuu naomba mnielekeze ilipo civil aviation training centre terminal one.

Je nashukia kituo gani nikiwa naenda?

Nimeitwa kwa aptitude test.

Barua nilichukua pale banana aviation centre lakini hiyo training centre terminal one ndo nashindwa kujua ilipo.

Nitashukuru kupata taarifa.

Panda Magari ya kwenda banana au Gongo la mboto. Shuka kituo cha Posta (hiki ni kituo kimoja baada ya kituo cha airport). Ukishuka rudi nyuma kwa mguu, na fuata barabara ya lami ya kulia. Barabara hii inaenda mpaka terminal one. Ukifika tu hata ule mlango wa "WANAOWASILI aka ARRIVALS" pale nnje mtu yeyote utakae muuliza jengo la CATC atakuonesha. Hata ukiangaza macho waweza ona jengo bila kuuliza.

Otherwise waweza shuka kituo cha airport then ukatembea muelekeo wa kwenda Banana/Gongo la mboto. Then barabara ya lami ya kwanza kushoto unaingia nayo hadi Terminal one. But this one I think is longer......Better drop at Posta

Kwa her
 
Fuata maelekezo hayo ya juu, nadhani ni mazuri zaidi....., Kila la kheri ktk aptitude test..!
 
Back
Top Bottom