Panda Magari ya kwenda banana au Gongo la mboto. Shuka kituo cha Posta (hiki ni kituo kimoja baada ya kituo cha airport). Ukishuka rudi nyuma kwa mguu, na fuata barabara ya lami ya kulia. Barabara hii inaenda mpaka terminal one. Ukifika tu hata ule mlango wa "WANAOWASILI aka ARRIVALS" pale nnje mtu yeyote utakae muuliza jengo la CATC atakuonesha. Hata ukiangaza macho waweza ona jengo bila kuuliza.
Otherwise waweza shuka kituo cha airport then ukatembea muelekeo wa kwenda Banana/Gongo la mboto. Then barabara ya lami ya kwanza kushoto unaingia nayo hadi Terminal one. But this one I think is longer......Better drop at Posta
Kwa her