Asante mkuu natumia usafiri wa umma mkuu. Nashukiru kwa uungwana wako Mungu akubariki sanahujasema unatoka wapi na unatumia usafiri gani,
okay, kwa daladala panda gari za masaki, shuka kituo kinaitwa macho, hapo waweza kutembea ni kama dk 5 hadi hapo hosp.
ukishuka kama unaelekea masaki vuka barabara, rudi nyuma kidogo (kwa sababu nkituo kipo mbele kidogo ukilinganisha na cha upande wa pili kama unatokea masaki chenyewe unafuata njia upande utakao shuka kituoni hapohapo) kuna barabara upande wa kushoto ni ya lami, shuka nayo utakuta geti lipo upande wako wa kushoto
Mousthustle asante mkuu kwa direction nzurii Sanaipo msasani, kituo kinaitwa macho.....muulize mtu yoyote hapo utakua umefika........https://www.google.com/maps/place/C...ec4e0bf07d3947b!8m2!3d-6.7683122!4d39.2713813