Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, urefu wa cm 161 na uzito wa kilo 52
nilisikia kuwa uzito unaotakiwa ni (Urefu - 100= uzito stahili) kwangu mimi ni sawa na 161-100=61 hivyo nilitakiwa kuwa na uzito wa kilo 61 badala ya kilo 52 nilizokuwa nazo sasa.
kupitia JF napenda kufahamu haya
Na amini JF hakuna linaloshindikana
- Kuna matatizo yoyote ninayoweza kuyapata kwa kuwa na uzito mdogo?
- Nafsi yangu inatamani sana kuwa na uzito angalau kilo 61 je nifanyaje? nile vyakula vya aina gani?
karibuni
inatosha mdogo wangu,unene siyo deal wala nini.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, urefu wa cm 161 na uzito wa kilo 52
nilisikia kuwa uzito unaotakiwa ni (Urefu - 100= uzito stahili) kwangu mimi ni sawa na 161-100=61 hivyo nilitakiwa kuwa na uzito wa kilo 61 badala ya kilo 52 nilizokuwa nazo sasa.
kupitia JF napenda kufahamu hayaNa amini JF hakuna linaloshindikana
- Kuna matatizo yoyote ninayoweza kuyapata kwa kuwa na uzito mdogo?
- Nafsi yangu inatamani sana kuwa na uzito angalau kilo 61 je nifanyaje? nile vyakula vya aina gani?
karibuni
Thnx nimecheck inaonekana nipo normalNenda: bestcalculator.org hapo kuna calculator kibao, chagua BMI calculator ingiza data zako na utapewa majibu kama upo normal au la!. kuhusu kuongeza uzito, kula zaidi vyakula vya wanga kama mkate, viazi, chapati na kadharika, usitembeee muda mrefu kwa miguu, zaidi unaweza kuni PM
Shavu kidogo dadanguinatosha mdogo wangu,unene siyo deal wala nini.
Weka picha yako tukuthaminishe,hapa tutakuchana live kama upo sawa au inabidi uongeze kilo , ila ujue unene sio poa, utajuta siku ukianza nenepa. ingawa sijui wembamba wako ni unaonekana umekonda kama mgonjwa au vipi.
Cellulitis ni neno la kitaalamu linalotumika kuonyesha uvimbe wa cell.eeeh....watu tumetofautiana sana....mwenzio nipo kwenye crash diet....jamani anayejua dawa ya kuondoa cellulite na kitambi naomba anisaidie....japo nimedandia treni kwa mbele