Msaada- Import duty Uganda na Tanzania

Mahorii

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
96
Reaction score
110
Habari wakuu,

Kuna rafiki yangu anataka kununua tani 100 za maharage toka Uganda.
Naomba kujua kama kuna tax duties yeyote ambayo atalipa. Pia, kama ipo, naomba kujua ni asilimia ngapi ya gharama ya mzigo.

Natanguliza shukrani zangu kwa wote ambao mtatumia mda wenu kunisaidia.
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…