Wadau mimi nilifungua madai ya NSSF kijitonyama mnano the 1 June 2024, nikaambiwa nisubiri mwezi mmoja nitakuwa nimeingiziwa fedha baada ya ajira yangu kukoma mweI January 2024, sasa tunaelekea siku 60 bila kitu.
Je, kwa uzoefu wenu inachukua siku ngapi kupata malipo?
Je, kwa uzoefu wenu inachukua siku ngapi kupata malipo?