Professional nilikiwa mgodini kwenye masuala ya jamii?Sasa Mimi inaenelekea kusiha miezi miwiliIkizidi sana mwezi mmoja.
Unachukua mafao kama proffesional au sio proffesional?
Hawakupi yote.Professional nilikiwa mgodini kwenye masuala ya jamii?Sasa Mimi inaenelekea kusiha miezi miwili
Ok,Asante kwa ushauriHawakupi yote.
Ukifungua madai baada ya wiki mbili inabidi ufatilie tena tofauti na hapo utasubiri sana.
Wanafanya kazi kimwinyi sana.
sawasawa.Ok,Asante kwa ushauri
Hayasawasawa.
Ukifanikiwa nipe mradi nisimamie niko benchi long time.
Kwenye kufungua madai inategemeana na madai au mafao??Wadau mie nilifungua madai ya NSS kijitonyamana mnano the 1 June 2024.Nikaambiwa nisubiri mwezi mmoja niatkuwa nimeingiziwa fedha baada ya ajira yangu kukoma mweI January 2024.Sasa tunaelekea siku 60 bila kitu.Je kwa uziwfu wenu inachukua siku ngapi kupata malipo