Ukubwa namaanisha ram,internal storage, uwezo wa camera kupiga picture. Ni hvyo tu na Kama nitapata anayeitumia ataniambia mazuri zaid na Kama zina tatizo zozoteUnataka kuifahamu katika nyanja gani?
Hayo mambo ya ukubwa wa RAM, Internal, uwezo wa Camera yote unaweza kuyajua kupitia Google.Ukubwa namaanisha ram,internal storage, uwezo wa camera kupiga picture. Ni hvyo tu na Kama nitapata anayeitumia ataniambia mazuri zaid na Kama zina tatizo zozote
We kweli mbao za mawe