Mmh sijajua sana, nimecomment kwa uhalisia ulonikuta. Mi nlkua na Toyota Pickup double cabin old model, Matumizi yalkua ni average ya 40 to 50km per day, kila baada ya siku 2 Nlkua najaza oil 2ltrs. Na gari ilkua na nguvu vzur tuMbona gari nguvu ipo nyingi na inawahi kuchanganya vzr kabisa
Shukran mkuu ngoja nicheki wataalam maana gari sijawahi kufanya overhaul toka iingie nchini Ina mwaka wa 15 na upya imefungwa 1998Mmh sijajua sana, nimecomment kwa uhalisia ulonikuta. Mi nlkua na Toyota Pickup double cabin old model, Matumizi yalkua ni average ya 40 to 50km per day, kila baada ya siku 2 Nlkua najaza oil 2ltrs. Na gari ilkua na nguvu vzur tu
Hadi alpotokea fundi wa kuservice engine na kusema ilkua ni piston rings
Imekata Piston rings hiyo. Peleka kwa fundi kwa ushauri zaidi.Wakuu Habari!
Ndugu zenu! Nina gari yenye engen ya 7a-fe Toyota nimetembea km 2700 oil imepungua Lita 2.5 ilianza taratibu mpaka kufikia hatua hiyo.
Engen Haina leakege kabisa ila imeanza kutoka Moshi ukikanyaga mafuta mengi then unakata gari inakimbia vzr tu na exos.
Asbh ukiwasha ikakaa muda inatoa maji japo si mengi na Bomba kuwa na weusi mkavu msaada tafadhali