True Lover
Member
- Aug 8, 2016
- 32
- 47
amesema hauzi ila anaomba ushauri napia anaulizia bei ya ingin ya ist inauzwa bei gani na pia inaweza kuingiliana kwenye gari yake, mkuu jaribu kumwelewaOk. Unaiuzaje hiyo?
amesema hauzi ila anaomba ushauri napia anaulizia bei ya ingin ya ist inauzwa bei gani na pia inaweza kuingiliana kwenye gari yake, mkuu jaribu kumwelewa
Pole sana mkuu,nafikir hiyo engine ni zile za D-4..... ni engine nzuri sana,though consuption yake ni kubwa ukilinganisha na ya IST. Hii engine inahitaj discpline kubwa sana kweny swala la mafuta.Watt wengi wamekua wakiiponda ii Engine kwasababu hawaielewi vizur.Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na pato langu, Hapa nawaza ninunue engen mpya vvti ya cc 1290 ile ya ist, je itafaa (itaingiliana)? na inaweza patikana kwa bei gani at minimum? Ninaomnbeni msaada na ushauri wa ziada wataalamu wangu.
Wewe ndio huelewi.amesema hauzi ila anaomba ushauri napia anaulizia bei ya ingin ya ist inauzwa bei gani na pia inaweza kuingiliana kwenye gari yake, mkuu jaribu kumwelewa
Injini kwa shilling millioni 11 ni injini ya Bombardier au ya Scania?Nitaiuza kwa 11m akipatikana mwenye kuhitaji
hapa sijakuelewa mkuu,engine ya 1290. unamaanisha unataka kubadilisha hii engine ya rav4 kwa hii aa 1290...au ununue gar yenye engine ya 1290?Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na pato langu, Hapa nawaza ninunue engen mpya vvti ya cc 1290 ile ya ist, je itafaa (itaingiliana)? na inaweza patikana kwa bei gani at minimum? Ninaomnbeni msaada na ushauri wa ziada wataalamu wangu.
kiongozi nadhani anamaanisha gari kuliuza!Injini kwa shilling millioni 11 ni injini ya Bombardier au ya Scania?
hapa sijakuelewa mkuu,engine ya 1290. unamaanisha unataka kubadilisha hii engine ya rav4 kwa hii aa 1290...au ununue gar yenye engine ya 1290?