mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
Habari ndugu zangu nina gari yangu Cresta ina Injini ya GX 100 ambayo bado mpya ila bodi limechoka,nataka kubadili matumizi iwe ya mizigo je ni bodi la gari gani inaweza kuingiliana na injini hiyo? Gari ni automatic.