mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
Je inawezekana? kwani hakuna body ambayo inaweza kuingiliana injini?
Sidhani kama inawezekana.Kata hio hio iwe pick up,
inawezekana kabisa GX 100 ikawa pick up wanakataSidhani kama inawezekana.
Inawezekana inakatwa vizuri na kuwa pick up.Sidhani kama inawezekana.
ni gereji gani hapa dar wanaoweza kufanya kazi hiyo.Inawezekana inakatwa vizuri na kuwa pick up.
Utachagua wewe uende gereji za kishua au za mtaani.ni gereji gani hapa dar wanaoweza kufanya kazi hiyo.
Kwa nini mkuu!
Toka lini Gx 100 ikatwa ikawa pikapu,,,Kwa nini mkuu!
Toka lini Gx 100 ikatwa ikawa pikapu,,,
Akili za kuambiwa changanya na yakwako
Sent using Jamii Forums mobile app
duh Mkuu ki Cresta chenyewe hakifiki Tani moja ukakibebeshe limdebe la kubeba Tani 3?Ina ingiliana na canter mkuu
Struggle For Success!
Hapa Kazi tu.
Toka lini Gx 100 ikatwa ikawa pikapu,,,
Akili za kuambiwa changanya na yakwako
Sent using Jamii Forums mobile app