T Tobido JF-Expert Member Joined Sep 28, 2010 Posts 331 Reaction score 76 Oct 19, 2013 #1 Habari wadau. Nimeitwa kwenye interview ktk post ya Instructor kwenye moja ya chuo flani hivi. Naomba kujua je nikijiendeleza naweza kuwa nani kwenye sekta ya elimu ? GPA yangu ni 3.4
Habari wadau. Nimeitwa kwenye interview ktk post ya Instructor kwenye moja ya chuo flani hivi. Naomba kujua je nikijiendeleza naweza kuwa nani kwenye sekta ya elimu ? GPA yangu ni 3.4