majuto mperungu01
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 115
- 21
Zamani kwenye cyber cafes ilikuwa foleni kusubiria mashine. Siku hizi nivigumu kupata foleni. Weka computer chache ila kuwe na upande wa stationery, typing, printing, photocopy na ikiwezekana passport size photo za hapo hapo.