Msaada: Interview TRA Civil Technician (ll)

Brightly

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
391
Reaction score
623
Habari wanajf, Naomba kwa yeyote anaefahamu TRA wanatoa aina ganii ya maswali kwenye written interview maana ndiyo mara yangu ya kwanza kuona interview ya civil engineering TRA, ninachojiuliza je? Watauliza maswali yanayohusiana na kada yangu au yanayohusiana na Mambo ya Kodi na vitu vingine. Karibunii wenye moyo wa kusaidia ndugu zangu!!!!
 
Ngoja watu watoke mihangaikoni, watakupa ushirikiano. Kila la heri kwenye interview yako.
 
Fani yako poti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…