Davey15 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 203 Reaction score 217 Apr 24, 2024 #1 Habarii wanaJF Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi ya VOCATIONAL TEACHER II -ICT wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya interview ya namna hii ya teacher .
Habarii wanaJF Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi ya VOCATIONAL TEACHER II -ICT wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya interview ya namna hii ya teacher .