Msaada interview za Jeshi la Magereza

Wengine mbna hatujapigiwa simu au ndio kila sehemu na ratiba zake
 
Nauliza Safari hii wale wa div 1 hadi 3 hawatakatwa kama ilivyokuwa last year Nimeona Tangazo wamewahitaji ila na mashaka sana
 
Mkuu usaili utakuwa ni huu mmoja tu au kuna mwengine hawa magereza
Zinatofautiana na sehemu mfano uoni kuna wengine wameitwa leo wanaenda fanya kesho kuna wengine wamefanya jana kuna wengine wamefanya juzi na pia hivyo hivyo kuna wengine wamefanya round mbili kupima urefu na usaili wenyewe wengine mmoja yaani hawa jamaa hawatabiriki

Ila hapo ulipo mwaka jana niliitwa tulifanya mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…