Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mi itakayo kuja mbele yangu napotea nayo sichagui [emoji1787] huku utumishi kushanipotezea sana nauli unaenda Dodoma kufanya usaili nafasi hewaBaba huu mwaka lazima tuondoke
Sema nilitamani sana wangeanza jw halafu ndio waje magereza ila hawa waliodoji kwenye magereza kwenye jw ndio itakuwa fungulia mbwa watu kama wote [emoji3]Sijapewa briefly na source yangu haijui mambo ya kijeshi sana ila lonja imetoka kwa makamanda wakubwa wa tanpol
Mimi nasubiri tpdf aiseeSema nilitamani sana wangeanza jw halafu ndio waje magereza ila hawa waliodoji kwenye magereza kwenye jw ndio itakuwa fungulia mbwa watu kama wote [emoji3]
Nikikosa magereza tutakutana huko kwenye TPDF kupambania kombe hakuna kukata tamaa [emoji3] ngoja tusubiri saili ziishe watuletee mkekaMimi nasubiri tpdf aisee
Kila la kher potiNikikosa magereza tutakutana huko kwenye TPDF kupambania kombe hakuna kukata tamaa [emoji3] ngoja tusubiri saili ziishe watuletee mkeka
Jw ipi akat ishaajiri watu elfu 6 mwaka huu na wengine ndo hawa madoctor+800 wa mafinga+ maservice wajenzi na maservice ambao nao wameongezew mkataba + service wapya wanasubir but kila mtu na bahati yakeSema nilitamani sana wangeanza jw halafu ndio waje magereza ila hawa waliodoji kwenye magereza kwenye jw ndio itakuwa fungulia mbwa watu kama wote [emoji3]
Baba jeshi halitabiriki au ushasahau mkuu alafu ukumbuke saiv nchi imefunguliwa usishangae tukaanza kumwaga askar kwenye OPs kama zama za JKJw ipi akat ishaajiri watu elfu 6 mwaka huu na wengine ndo hawa madoctor+800 wa mafinga+ maservice wajenzi na maservice op makao makuu ambao nao wameongezew mkataba wanasubir but kila mtu na bahati yake
Yaah amna kukata tamaa hizo ni takwimu tuu kwenye kupata kila mtu na bahati yakeKaka tutapambana tu hakuna namna ya kukata tamaaa
Mimi navamia zangu bogi nkale kadetMwakajana kuli kuwa na maservice op moja tuu ambao nao wengi walichukuliwa BOT, POLIS, UHAMIAJI, MAGEREZA, JW na FIRE ndo mana ushindani ulikuwa mdogo ila sahizi kuna op imeongezeka makambini ambao wanamoto hata mwaka hawana na walichukuliwa elimu ya fom4 na la7 tuu bado wale waliotoboa mikataba wapo mitaani + mujibu
Mkuu hapo juu kasema kaskia lonja wanakuja tenaJw ipi akat ishaajiri watu elfu 6 mwaka huu na wengine ndo hawa madoctor+800 wa mafinga+ maservice wajenzi na maservice ambao nao wameongezew mkataba + service wapya wanasubir but kila mtu na bahati yake
Kitaeleweka tu kwenye usaili full kutunishiana misuli kwa wale wenzangu na mimi wasio na mbangaMwakajana kuli kuwa na maservice op moja tuu ambao nao wengi walichukuliwa BOT, POLIS, UHAMIAJI, MAGEREZA, JW na FIRE ndo mana ushindani ulikuwa mdogo ila sahizi kuna op imeongezeka makambini ambao wanamoto hata mwaka hawana na walichukuliwa elimu ya fom4 na la7 tuu bado wale waliotoboa mikataba wapo mitaani + mujibu
InawezekanaMkuu hapo juu kasema kaskia lonja wanakuja tena
Inshaallahmtaani kugumu Sana mitaji hatuna walau tupate hizi ajira za magereza tuwasaidie wazazi wetu umri wao nao unazidi kwenda mbele nguvu pia zawaishia ...mungu tubariki vijana wako tufanikiwe kwenye awamu hii ya majeshi ..........
AlaaaMimi navamia zangu bogi nkale kadet
Hakika kaka yaani Mungu atusimamie pamoto snamtaani kugumu Sana mitaji hatuna walau tupate hizi ajira za magereza tuwasaidie wazazi wetu umri wao nao unazidi kwenda mbele nguvu pia zawaishia ...mungu tubariki vijana wako tufanikiwe kwenye awamu hii ya majeshi ..........
Kama vipi waje.m nawasubiria immigration.magereza sijaomba nawaombea mlio omba mtusue kozi mtaani ni mwendo wa pumzi ya motoMkuu hapo juu kasema kaskia lonja wanakuja tena
Kwann magereza hukuombaKama vipi waje.m nawasubiria immigration.magereza sijaomba nawaombea mlio omba mtusue kozi mtaani ni mwendo wa pumzi ya moto