Piga simu customer care Zain, waambie wakupe manual configuration details.
Utapewa vitu kama access point name (APN), proxy, port etc.
Mimi nazijua configuration za tiGo, na pia niliwahi kuanzisha thread kuhusu hii topic. Hizi configuration nilipewa na customer care representative wa tiGo, so I hope utaweza kupewa na watu wa Zain pia.
Mwombe huyo jamaa yako akupe hizo configurations kama anazo.