INFORMATION SYSTEM $ NETWORK ENG iko poa sana kitaani ktk nyanja ya digitale
jaman msaada wenu kati ya
hizi course mbili ni ipi kwa mtazamo wako itakua course kali na yenye
maslahi ktk hii dunia ya DIGITAl
1.INFORMATION SYSTEM AND NETWORK ENGINEERING
2.ELECTRONICS AND COMPUTER ENGINEERING
hyo no.2 imekaa njema sana,nina washkaji zng kama 4 hv walisoma hizo madubwasha wapo poa sana kimaisha,kamua hyo mkuu kama unataka kuusaidia ukoo wako kiuchumi,gudluck
bongo kwkw/kla m2 nuks/uyu anataka umpe ushauri we unaleta mbwembwe na maelezo mengne lukuk/hey chek no_2
acha ukuda we....