politicians
Senior Member
- Apr 8, 2018
- 154
- 124
BusJe Kutuma Mzigo Nairobi Nitumie Njia Gani
- Tuma kwa njia ya EMSNingependa kufahamu ipi njia nzuri ya kumtumia mteja mzigo wake akiwa mkoani,ili uweze kumfikia salama na unaotengeneza Mazingira mazuri ya
Uaminifu kati ya mfanyabiashara na
Mteja?
Asante sana mkuu kwa ushauri wakoMm sio mfanyabiashara ila mara nyingi napokea mizigo kwa njia ya bus hasa dar lux.
Nimeshatumiwa vitu vingi ikiwemo laptop kwa njia hii.
Hawa dar lux wana utaratibu mzuri sana wa kusafirisha mizigo na inafika salama ila hawapeleki kwa mteja isipokuwa mtej ndio anaenda kufuata ofisini kwao.
tumia bus inatakiwa upereke mzigo kwenye ofisi ya bus unalotakiwa kutumia kuperekea mzigo huo utapewa utaratibu mzuri hapo ofisini
- Tuma kwa njia ya EMS
- Ila haujasema ni aina gani ya mzigo.