Msaada ison bpo ltd registration number toka Brela

Msaada ison bpo ltd registration number toka Brela

chrisman49

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
352
Reaction score
77
Habari ndugu zangu,

Nina shida na namba ya ison bpo ltd toka BRELA, ISON ilikuwa inafanya kazi na Tigo miaka ya nyuma, ni kwa ajili ya madai ya PSSSF.

Nawasilisha wakuu.
 
Vitu vingine vinachekesha sana, sasa wewe ulifanya kazi na kampuni ambayo huna details zake?
 
Back
Top Bottom