chrisman49 JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 352 Reaction score 77 Apr 24, 2024 #1 Habari ndugu zangu, Nina shida na namba ya ison bpo ltd toka BRELA, ISON ilikuwa inafanya kazi na Tigo miaka ya nyuma, ni kwa ajili ya madai ya PSSSF. Nawasilisha wakuu.
Habari ndugu zangu, Nina shida na namba ya ison bpo ltd toka BRELA, ISON ilikuwa inafanya kazi na Tigo miaka ya nyuma, ni kwa ajili ya madai ya PSSSF. Nawasilisha wakuu.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Apr 25, 2024 #2 Vitu vingine vinachekesha sana, sasa wewe ulifanya kazi na kampuni ambayo huna details zake?