MSAADA JAMAN KORODAN ZOTE MBILI ZIMEVIMBA ZINAUMA,PLEAS pleass

MSAADA JAMAN KORODAN ZOTE MBILI ZIMEVIMBA ZINAUMA,PLEAS pleass

HardMartin

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
306
Reaction score
109
Wahemiwa jaman naomba msaada wenu mwenzenu toka jana usiku korodan zangu zimevimba zinauma xaana naomba msaada wenu please pleas jamax
 
wahi hosp mkuu tena na hili baridi ndo zinazid kuuma. kuna dawa yake.
 
daaa! hata first aid hakuna! lol

the more you are late kama ziko twisted ni the more unavyoelekea kuwa tasa. Kuna posibility ya kuwa na uambukizo pia. Nenda hospitali upatiwe matibabu.
 
Ni ugonjwa unafahamika kitaalam kama "Epidydimitis"unasababishwa na bacteria.unatibika wahi hosp.kaka. Nakuombea upone haraka
 
the more you are late kama ziko twisted ni the more unavyoelekea kuwa tasa. Kuna posibility ya kuwa na uambukizo pia. Nenda hospitali upatiwe matibabu.

haya lol ! axante nashukuru nmekupata,acha niwah haraka
 
Back
Top Bottom