HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 306
- 109
wahi hosp mkuu tena na hili baridi ndo zinazid kuuma. kuna dawa yake.
daaa! hata first aid hakuna! lol
the more you are late kama ziko twisted ni the more unavyoelekea kuwa tasa. Kuna posibility ya kuwa na uambukizo pia. Nenda hospitali upatiwe matibabu.
Ni ugonjwa unafahamika kitaalam kama "Epidydimitis"unasababishwa na bacteria.unatibika wahi hosp.kaka. Nakuombea upone haraka
Mke wa mtu sumu
Inaweza kuwa busha wahi hospitali
pole sana nenda kacheki hospitali mkuu
vipi umeshapata matibabu?
Ngiri hiyo, shubiri