msaada jaman ni wapi naeza kupata Sponsorship..

Clemoo

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
71
Reaction score
15
Jaman wana Jf mi pia ni muhanga wa waliokosa mkopo, nimechaguliwa udsm ba in aquatic envnromental science and conservation, mzee wangu ni mstaafu hana uwezo wa kunilipia ada, naomben mnisaidie ni wapi naeza kupata mtu wa kunilipia ada..kwani nahis maisha yangu hayana mwelekeo tena,
 

Hivi ina maana hamjui kuandika vizuri na kwa ufasaha au ndo hali ya kuchukulia mambo kirahisirahisi na kupuuzia!? Mnasikitisha sana vijana wa sasa. Mtajikosesha mengi kwa kukosa umakini kwa namna hii. Kila la heri japo nina shaka kwa uandishi huu kama mtu ataweza amini kama kweli unaenda Chuo Kikuu.
 

we toa msaada,, kuchapia kupo hata kwenye kuongea, sembuse tu kuandika!
 
Tatizo humu ndan kuna vi O level,ukichapia tu yaan ni tabu tupu,usipoenda kando utajuaje kuwa wewe ni binadam?msaidieni Comrade sio kuanza utoto usio wa kujenga
 
we toa msaada,, kuchapia kupo hata kwenye kuongea, sembuse tu kuandika!

Mie sijaongelea kuchapia, kama ni kuchapia hata mimi huwa nachapia sana afterall it's a keyboard thing. Kama mna nia ya kweli ya kuwasaidia hawa vijana basi washaurini adabu ya uandishi.
 
Tatizo humu ndan kuna vi O level,ukichapia tu yaan ni tabu tupu,usipoenda kando utajuaje kuwa wewe ni binadam?msaidieni Comrade sio kuanza utoto usio wa kujenga

Mmmh.. haya comrade A level..though you're taking the discussion even further unnecessarily badala ya kumsaidia mhusika.. I shut up..
 

brother kama una nia ya kusaidia unaweza kusaidia tu, izo ni typing errors tu..yan kuandika "naeza" instead of "naweza" ndio iwe kesi..wewe mbona ume include neno "ndo" badala ya kuandika "ndio"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…