M mkal bway Member Joined Mar 4, 2013 Posts 7 Reaction score 2 Mar 16, 2013 #1 Nataka kufanya changes katika masomo niliyosajili mtihan wa csee kwa kutumia mtandao lakin system haikubal naomba msaada,nimesajil masomo ma4 nataka nipunguze yabak 3!Ntafanyaje wajamen naomba msaada wanajf!
Nataka kufanya changes katika masomo niliyosajili mtihan wa csee kwa kutumia mtandao lakin system haikubal naomba msaada,nimesajil masomo ma4 nataka nipunguze yabak 3!Ntafanyaje wajamen naomba msaada wanajf!