Msaada jaman.

Estina

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Kwa yeyote anaeijua vzur hii facalt anijuze: bachelor of busness admnstration and management! plz.
 
mbona husomeki! sasa anayeijua kivipi? utashindwa kupata msaada wa swali lako kwa kuwa haliko wazi...
 
Kkosea kawaida coz m c malaika! ok, nataka kujua kama inahtaj ufaulu wa math olevl au mtu aliye soma masomo ya biashra?
 
Kwa majungu watu mmejaaliwa!! facebook wako poa.
 
Kkosea kawaida coz m c malaika! ok, nataka kujua kama inahtaj ufaulu wa math olevl au mtu aliye soma masomo ya biashra?

ukiandika vizuri ndipo utakaposaidiwa.Humu sio "surabook"
 
aise jamani, hivi admission letters za UDSM zimeshatoka au bado ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…