Msaada jamani bibi harusi anatafutwa

Mamito,asa ukikubali baada ya harusi huwa kuna hane muni,
Na kinachofanyika huko nasikiaga ni kwa ajili ya wanandoa,
Asa utakifanya alafu kila mtu arudi na magegi yake kwao peke yake?
Km moyo umependa kubali tu yaishe mwenyewe c keshakimbia?
 
Reactions: BPM
Binti, mbona wataka kuvuna dhambi??? Kama hii ndoa inafungwa kanisani, kile kitendo cha wewe kuapa ' I DO' na kusaini vyeti, tayari utakuwa umetenda dhambi kwa kumdanganya Mwenyezi Mungu. Na kama mtafungia kwa DC ukishaapa na kusaini vyeti, tayari utakuwa umetenda kosa la jinai waweza pelekwa mahakamani. Kitakachoweza kukuokoa mahakamani labda ni hilo jina maana litakuwa siyo lako, lakini ushahidi wa mkanda wa video, picha, mashahidi wa ndoa utaweza bado kukutia hatiani. Ni imani hata kama ndoa itafungishwa msikitini, kile kitendo cha wewe kutoa ridhaa uolewe na mzazi / mlezi wako kukuoza mbele ya shekhe na wewe kusaini vyeti, tayari utakuwa umetenda dhambi kwa kumdanganya Mwenyezi Mungu. tayari utakuwa Kutokana na maelezo yangu hapo juu, Smile, nakushauri achana na mpango huo wa kukaimu bibi arusi, wakikusumbua sana na wewe timka uwapotezee.
 
Opportunity never come twice...hapana, hakuna haja kufogi..wewe sikiliza nafsi yako inakutuma nini....bwana harusi ameridhika wewe kuwa mke wake, kama unampenda bwana harusi alietoswa hatua za mwisho kabisa please okoa jahazi. tatizo litakuwepo kama wewe tayari ulishafunga pingu za maisha....au una mchumba ambaye mlishakubalina kufunga pingu za maisha.
 
kweli wewe ni mama nashukuru sana kwa ushauri wako tena naprint kabisa hapa nikawasomee maana kuna kikao saa kumiubarikiwe sana mpendwa
 
angalia ushauri wa mama mdogo hapo
 
Hi Smile tafdhali sana jaribu kuwa makini sana na swala hili hapo kuna mapungufu ya kibinadam kuna watu wengine wana shindwa kukabili matatizo na kukubaliana na matokeo sio busara kufanya tendo kama hilo kwakuwa linahusiana na imani naimani kuwa ndoa hii itafungwa kanisani au kwa kuwa kuna sendof bila shaka kunakumdanganya mungu mungu hapo kuna dhambi chapili je huyo jama akikuganda utaemanini na usisahau bada ya ndoa unchukuliwa garini mpaka kama ni hoteli au nyumbani jama akifika huko akasema bibi wewendo biharusi kwahiyo mimisielewi mambo ya tamdhilia itakuwaje litazukalingine bora nusu shari kuliko shari kamili wasemavyo waswahili usikubali wakikura nijulishe namimi nikushukue Tabora

 
thax mkuu heri nisubiri siku yangu na wewe
 
Kwa Waislamu, hiyo mbona inawezekana, na wala haina shiuda kabisa.......................
 
Kwa Waislamu, hiyo mbona inawezekana, na wala haina shida kabisa.......................
 
kama hujaolewa kamata mchuma!!!!!!!!!!!!!!!!! mama mambo ya kila mtu lwake pale kwenye zawadi na pete inakua vipi hebu acha masihara weeeeeeee !!!!!!!!!!!!!!!!!
 



kuna alichokumbu sasa kwenye ndoa akaona hakipati au!!???
mimi kuna ambae namjua alimkimbia mumewe baada ya mwezi sababu hamli tigo!
dunia ina mambo hii
 
ah haa haa ahaaaaa...............hayachekeshi ila PATAMU HAPO.
 
Huyo mwanamume ni mjinga sana. Ningekuwa mie, ningefurahi sana kwamba huyo dada kanikimbia kabla ya ndoa...Kuna watu wengine wanakimbiwa ndani ya wk 1 au siku 100 baada ya harusi!!

Kama na wewe unataka kushiriki huo ujinga basi songa mbele...Ila ukumbuke kuwa ndoa ni mkataba wa kisheria...Hebu jaribu kufuatilia ujue sheria ya ndoa inasemaje!!
 
Duooh amakweli shule za sikuhizi, balaa hebumuwe mnawafatilia hawa wadogozetu haya mabweni ya kitaani kuna vituko mwenye mtuwake huko awe makini sana Tigo huu mtandao umekuwa hatri sana loooh kichefchef

kuna alichokumbu sasa kwenye ndoa akaona hakipati au!!???
mimi kuna ambae namjua alimkimbia mumewe baada ya mwezi sababu hamli tigo!
dunia ina mambo hii
 
Heri lawama kuliko fedheha:: kwanini ufanywe by the way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…