AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,047 Mar 16, 2012 #1 habari wana jf! jamani nahtaji kujua utaratibu wa elimu ya uganda kwa 4m5 na 6' je wanatumia qualification gan kujiunga? na comb zao zipo vipi? na pia ningependa kujua mengine mengi kuhusu ubora wa elimu ya ug! ahsanten wote kwa mchango wenu mzuri.
habari wana jf! jamani nahtaji kujua utaratibu wa elimu ya uganda kwa 4m5 na 6' je wanatumia qualification gan kujiunga? na comb zao zipo vipi? na pia ningependa kujua mengine mengi kuhusu ubora wa elimu ya ug! ahsanten wote kwa mchango wenu mzuri.