MSAADA JAMANI HAPA JR KASEMAJE KWA WALE MNAOELEWA LUGHA VIZURI

MSAADA JAMANI HAPA JR KASEMAJE KWA WALE MNAOELEWA LUGHA VIZURI

Joined
Aug 19, 2018
Posts
43
Reaction score
76
Maane yake nini
IMG-20190625-WA0019.jpeg
 
Kaandika.

"Shida yangu kwenye soka sio pesa... Ila ninafanya kwa kufurahisha moyo wangu tu ... Kwa kudhihirisha hili... Navunja mkataba naenda kucheza simba club buure"
 
Ana maanisha naye anakuja Simba kumfuta Nahodha wake !
 
Back
Top Bottom