Msaada jamani haraka

Msaada jamani haraka

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Kuna ndugu yangu alikua ametoka kutawadha sasa kutoka nje akateleza na akadondokea kichwa upande wa kushoto sasa panauma na pia amesahau lile tukio lilotokea ila vi2 vingine namshukuru Mungu anakumbuka vizuri.

Je kuna msaada wowote naeza mpa ? Na nilimpaka dawa moja ya kisunnah kama mafuta ... sasa amesahau lile tukio lilomtokea je ni sababu gani ?

Maana anasikitika kwamba hakumbuki lile tukio na ombeni msaada wenu wadau.
 
Back
Top Bottom