Msaada jamani: Hizi ndoto nyevu zitaniua sasa


Mkuu hilo sio tatizo wala usije kubabaishwa eti ni jini.inaelekea huna mpenzi na unakula vizuri ila hufanyi mazoezi.kwanza usiwe unalala kifudifudi alafu fanya mazoezi tatizo litaisha.Epuka kula vitu vyema mafuta mengi.
 
Not kila mtu mkuu ila kujiweka katka sala na ulinzi wa Mungu itasaidia kumwepusha na hizo ndoto,kumbuka yeye alisema imekua too much na anauliza kama kuna tiba....hi ushaur tu nilimpa kuwa asali sana

Hivi ina maana kila mtu anayeota ndoto nyevu anajini mahaba mbona siwaelewi wakuu.
 
Kisayansi ilo siyo tatizo na lazima itokee kuonesha wewe uko fit kwasababu inatokea pale ambapo kuna accumulation of gametes kwenye korodan nazikiwa nyingi nakama ujafanya mapenz ili uwez kuunder go ejaculation zitapaswa zitolewe kwa njia ya ndoto na unaweza ukaota unafanya mapenzi na bint flan na kingine ambacho kinafanya uweze kuota hata mara tatu kwa week ni kwasababu yavyakula unavyotumia vitakuwa na protein nying jarb kubadilisha vyakula kwa masaada zaid ni pm
 
hilo ni pepo (spiritual husband or wife). Kemea sana kwa jina la Yesu!
 
kama unapiga punyeto kuanzia leo iwe mwisho, na kama huwa unaangalia lia picha za ngono, picha za uchi nakusihi acha kuanzia leo kwa hakika hiyo ni milango ya shetani, Ndoto hizo hazitakuisha. ukumbuke kuwa hata kama utaacha hivyo vitu kama bhuwa unafanya itakuchukua muda kidogo hilo tatizo kumalizika. ndoto nyevu za mara kwa mara zitakumaliza nguvu za kiume na kuua uwezo wako wa kumbukumbu. wish all da best mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…