Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Mpeleke kwa Masawe pale Moroco
Asante sana kiongozi!
Hapo wanachukua namba asubuhi na kumuona dk jioni (kama unataka kuwaon wale ma specialist- Massawe/Doulla).
Mpeleke kwa Dr. Kuboja. Huwa anafanya part-time pale TMJ. Unaweza piga simu TMJ uwaulize ratiba yake na siku anazokuwepo
Kuna Dr. Yohani pale mtaa wa Umoja wa wanawake ;jengo ilipo ofisi za QATAR airways , he is the best!!
Ni kweli kabisa.dr kuboja ni mzuri sana kwa watt.hata muhimbili kuna madkt wazuri wa wattMpeleke kwa Dr. Kuboja. Huwa anafanya part-time pale TMJ. Unaweza piga simu TMJ uwaulize ratiba yake na siku anazokuwepo
Asante mkuu!! Unaweza kunisaidia contact za hao TMJ?
Mimi nakushauri kutokana na uzoefu wangu na watoto. Moja Kama ni kuharisha na kutapika fanya ifuatavyo, kwanza dalili zinaonyesha ni kuota kwa meno.
1. Badala ya kumpa chakula mnunulie matunda na umtengenezee Juice (machungwa na papai)
2. kama dawa amemaliza usimpe dawa nyingine hadi akamilishe mzunguko wa hiyo Juice ya Papai na Chungwa.
3. Mpe maji ya kutosha na kama bado ananyonya atumie maziwa ya mama kama chakula mbadala.
Papai na chungwa ni lishe na dawa tosha kwa mtoto. Usijaribu kumpa hizi juice za dukani au zilizotengenezwa tayari. Hakikisha unakamua chungwa la kweli na papai la kweli. Unaweza mpa Juice ya chungwa pekee na papai peke au unavichanganya pamoja.
Julisha matokeo tafadhali.